募捐 9月15日2024 – 10月1日2024 关于筹款

UMASKINI NA UTAJIRI: KATIKA MAWANDA MAPANA YA KITEOLOJIA

  • Main
  • UMASKINI NA UTAJIRI: KATIKA MAWANDA...

UMASKINI NA UTAJIRI: KATIKA MAWANDA MAPANA YA KITEOLOJIA

Daniel J. Seni
你有多喜欢这本书?
下载文件的质量如何?
下载该书,以评价其质量
下载文件的质量如何?
Kitabu hiki kwa mara ya kwanza nilikiandika mwaka 2017 katika lugha ya Kiingereza na kilichapiswa katika mtandano wa Amazon Kindle. Pia nakala ngumu yake inapatikana kwa kuagiza kupitia amazon. Kichwa chake kwa Kiingereza kinaitwa, “THE SCHOOL of POVERTY AND RICHES: A New Hope to the Desperate World.
Niliamua kukiandika kwa Kiswahili ili kuruhusu watu wengi kusoma na kuelewa vizuri dhana ya Umaskini na Utajiri; tumaini jipya kwa ulimwengu unaopotoka.
Utakubaliana nami kwamba katika ulimwengu huu dhana ya maskini na wanyonge imetawala kiasi kwamba kuwa mnyonge au maskini imekuwa kama ni heshima fulani hivi. Vivyo hivyo, watu kuwa matajiri siku hizi wanahofia kwa kuogopa kwamba pengine labda watu wanafikiri nimewapoka mali zao ndiyo maana nimekuwa tajiri.
Yawezekana pia ukakubaliana nami kwamba maskini wengi wamekuwa mitaji ya mitume na manabii; kwa maana ya kwamba maskini wengi ndio ambao huenda kuombewa na kuangushwa na mapepo; (eneo hili bado tunatafiti uhusiano kati ya umaskini na kuangushwa na pepo) lakini huo ndio ukweli.
Katika kitabu hiki, nimejadili kwa undani masuala ya umasikini na utajiri kwa kuzingatia muktadha wetu, lakini vilevile nimechukua dhana ya kutangulia kuchaguliwa na kuijadili kwa undani ili kuona kama hatima ya umaskini na utajiri imeamuriwa na Mungu. Karibu tujifunze pamoja
Daniel John Seni
Januari 2021
卷:
1
年:
2021
出版:
1
出版社:
Shekinah Press
语言:
kikuyu
页:
155
文件:
PDF, 846 KB
IPFS:
CID , CID Blake2b
kikuyu, 2021
线上阅读
正在转换
转换为 失败

关键词